Kichekesho Alichosema mchungaji baada ya kufungisha ndoa mashoga wawili

Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"

Usisahau kushare kichekesho hiki kwa marafiki zako nao waenjoy!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!
Kichekesho%20Kipya Usipitwe na kichekesho kuhusu; Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!. kilichotolewa hivi karibuni. Kizuri

Facebook

Furahia vichekesho hivi vingine