Kichekesho Cheki alichokifanya huyu jamaa baada ya kukabwa simu..!

Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele "bonyeza send, bonyeza send wewe" abiria wote hawana mbavu

Usisahau kushare kichekesho hiki kwa marafiki zako nao waenjoy!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!
Kichekesho%20Kipya Usipitwe na kichekesho kuhusu; Angalia haka kamchezo ka kutuma message mara zikubali mara zikatae.. Lilishakukuta hili???. kilichotolewa hivi karibuni. Kizuri

Facebook

Furahia vichekesho hivi vingine